Shule za Kananura Zilizopo Kivule, Jijini Dar es Salaam zinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2022 kwa ngazi ya Chekechea, Msingi na Sekondari.
Shule ni za Kutwa na Bweni na Tunapokea Wanafunzi wa Jinsi zote na Wa imani zote kutoka mikoa yote ya Tanzania.
Shule ina mazingira mazuri na Tulivu ya Mwanafunzi Kujifunza Na Walimu Mahiri wenye umahiri na uzoefu wa kufundisha.
Shule imefanya vizuri kitaaluma kwa mitihani ya Darasa la Nne na Darasa la Saba kwa miaka miwili mfululizo.
Kananura Schools © 2021 All Rights Reserved.